Romans 4:23-24

23 aManeno haya “ilihesabiwa kwake kuwa haki,” hayakuandikwa kwa ajili yake peke yake, 24 bbali kwa ajili yetu sisi pia ambao Mungu atatupa haki, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Isa Bwana wetu kutoka kwa wafu.
Copyright information for SwhKC